Deuteronomy 13:12-14

12 aKama mkisikia ikisemwa kwamba moja ya miji ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa mkae ndani yake 13 bkuna wanaume waovu wameinuka miongoni mwenu na wamewapotosha watu wa mji, wakisema, “Twendeni tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo hamkuifahamu), 14 cndipo itakubidi kuuliza, kupima na kuchunguza kwa makini. Kama ni kweli, tena ikihakikishwa kwamba jambo hili lichukizalo limefanyika miongoni mwenu,
Copyright information for SwhKC